Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,300
Aliyetubatiza jina LA kichwa cha mwendawazimu ana balaa, maana sasa anataka nchi iwe ya dikteta uchwara
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah! angalau wamekufa kiume.Timu ya Taifa Stars imeyaaga mashindano ya CHAN jioni hii baada ya kutoka suluhu ya magoli 0-0 na Timu ya Taifa ya Rwanda(Amavubi Stars).
Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza leo dhidi ya Amavubi
1. Aishi Manula
2. Boniphace Maganga
3. Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Salim Mbonde
6. Himid Mao
7. Simon Msuva
8. Mzamiru Yassin
9. John Bocco
10. Raphael Daudi
11. Shiza Kichuya
Kikosi cha akiba
12. Said Mohamed
13. Hassan Kessy
14. Nurdin Chona
15. Salimin Hoza
16. Said Ndemla
17. Joseph Mahundi
18. Stamili Mbonde
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Kama kuna ulazima wapimwe Mkojo hahaha..Hapa Kazi tu