Taifa stars

Haaaa huku haioneshwi dstv ya huk haina channel za tz mkuu
 
Hahahaha nimejikuta nacheka kwanza mkuu dah huku makomandoo sana yaan ukizingua unapewa kitu cha paaaaaa cha takooo.... Haku wote wanaume wa kaz kazi km wa kanda ya ziwa[emoji41][emoji41]
Kumbe, kwa io na uko kuna wanaume wa Gaborone kama ilivyo wa Dar uku kwetu
 
Hahahaha nimejikuta nacheka kwanza mkuu dah huku makomandoo sana yaan ukizingua unapewa kitu cha paaaaaa cha takooo.... Haku wote wanaume wa kaz kazi km wa kanda ya ziwa[emoji41][emoji41]
Apo sawa
 
Mugabe aliwahi kugharamia timu yake ikaboronga kurudi akawaita panya na adhabu juu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…