Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 655
- 543
Taifa Stars ni........... ? Malizia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumepigwa Moja BilaTupen matokeo jaman mliopo huko tz
Jamaa unataka kusema wewe uko wapi?Tupen matokeo jaman mliopo huko tz
Yupo LesothoJamaa unataka kusema wewe uko wapi?
Tumepigwa Moja Bila
Jamaa unataka kusema wewe uko wapi?
Yupo Lesotho
Huko huwezi kupata matokeo hadi ulize humu?Nipo Gaborone mkuu
Wapitilizie mtwara kubangua koroshoWatazinyaa hela za magufuri alizowapa[emoji23]
Upo mkoa gani uko,Haaaa huku haioneshwi dstv ya huk haina channel za tz mkuu
Upo mkoa gani uko,
Kumbe, kwa io na uko kuna wanaume wa Gaborone kama ilivyo wa Dar uku kwetuGaborone huu ni mkoa mkuu nchini Botswana
Kumbe, kwa io na uko kuna wanaume wa Gaborone kama ilivyo wa Dar uku kwetu
Apo sawaHahahaha nimejikuta nacheka kwanza mkuu dah huku makomandoo sana yaan ukizingua unapewa kitu cha paaaaaa cha takooo.... Haku wote wanaume wa kaz kazi km wa kanda ya ziwa[emoji41][emoji41]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mugabe aliwahi kugharamia timu yake ikaboronga kurudi akawaita panya na adhabu juu[emoji23][emoji23][emoji23]