TaifaStarz ni wazuri kuliko Senegal. Basi tu ipo siku tutatoboa

TaifaStarz ni wazuri kuliko Senegal. Basi tu ipo siku tutatoboa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Hakuna ubishi.

Staz wanakipiga kuliko Senegal. Kila mtu anaona kwa macho yake.

Au mnabisha?
image_search_1669051902926.jpg
 
Taifa Starz hii waliocheza na Uganda kwenye CHAN ha ha ha haitokaa kutokea Senegal wanapiga mpira bwana
 
Tafadhali usiifananishe Senegal na vitu vya Ajabu ajabu.Mtoa mada nimeanza kuwa na wasi wasi kuhusu afya ya akili yako.
 
Kuna watu wanapenda kutukanwa, hao kwawachezaji wakuokotaokota
 
African team they don't know how to play when they don't possess the ball
 
Matatizo uliyonayo kuyatatua labda Yesu aje kuyatatua.
 
Back
Top Bottom