mkale JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 1,618 Reaction score 1,753 Jul 18, 2013 #1 nini maana ya ili neno TAIKUNI ,nimelisikia jana likitumika kwenye kipindi cha BBC Swahili.
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,132 Reaction score 31,149 Jul 18, 2013 #2 Tycoon? Wanaweza wakawa wamelitohoa hapo
mkale JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 1,618 Reaction score 1,753 Jul 18, 2013 Thread starter #3 amu said: Tycoon? Wanaweza wakawa wamelitohoa hapo Click to expand... asante mkuu ,nimejaribu kuangalia maana yake TYCOON ,naona inaendana na namna lilivyotumika TAIKUNI.
amu said: Tycoon? Wanaweza wakawa wamelitohoa hapo Click to expand... asante mkuu ,nimejaribu kuangalia maana yake TYCOON ,naona inaendana na namna lilivyotumika TAIKUNI.