profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
bei ya bure?kivipi mkuu,tbs wamethibitisha kwamba ni bora ndo maana zipo sokoni,kama ni hivyo basi tuepuke gari za used na bei chini za japan,tununue za mzungu za bei kali..kama unajali maisha yako epuka bei ya bure,,
bure ni ghali...
Mchina Tumia 1. Goodride, 2. Double Star au 3. LinglongNi kampuni gani ya tairi za china ambayo ni nzuri kuzidi nyingine za china,nimeulizia BF GOODRICH y usa/uk Rim 15,ni sh 280,000/=kwa pisi moja,michelin 180,000/,goodyear 170,000/=,mchina 120,000/=hizo zote ni saizi 15,mchina ni maji usipo kunywa utaoga tu,hata kufulia basi..
niliulizia ilala,amana pale tena juzi tu,size R15=280000 kwa pisi moja,tubeless,ghafla nilichemka...Huko wapi BF inauzwa tsh 280,000/=?
Tyre ya mchina yenye akili ni Triangle tu! Nje ya hapo kwangu naona ni upuuzi tu hata ile Goodride ambayo nilidhani ina nafuu imentesa kupiga jeki kila saa na kutoa vijipu pembeniNi kampuni gani ya tairi za china ambayo ni nzuri kuzidi nyingine za china, nimeulizia BF GOODRICH y usa/uk Rim 15,ni sh 280,000/=kwa pisi moja, michelin 180,000/, goodyear 170,000/=, mchina 120,000/=hizo zote ni saizi 15, mchina ni maji usipo kunywa utaoga tu, hata kufulia basi.
Dunlop huipati kwa 120,000 mzee! Aandae 155,000 hapo au zaidi ila its the best tyre ever kwa mid class! Ukiipata Japan Quality haikai ikisumbue nimeitembelea mpaka imeisha haijawahi kukata waya wala pancha hata moja!Mchina Tumia 1. Goodride, 2. Double Star au 3. Linglong
Lkn hapo kati ya Mchina zipo tyre za South Afrika na Japan zinaitwa DUNLOP ni nzuri pia.
Shida ya mchina toleo likitoka likipotea limepotea! Kuna tairi ziliitwa westlake zilikuwa ni afadhali sana, lakini sasa hivi hazipo!! Hata hizo goodride zipo size ndogo za vitz na IST ukija kwenye size 15 kuendelea kuna majina ya ajabu sana!!Tyre ya mchina yenye akili ni Triangle tu! Nje ya hapo kwangu naona ni upuuzi tu hata ile Goodride ambayo nilidhani ina nafuu imentesa kupiga jeki kila saa na kutoa vijipu pembeni
Basi zilikuwa za kindezi! Tairi inaitwa Boya na wewe ukanunua mzee baba πππ???Shida ya mchina toleo likitoka likipotea limepotea! Kuna tairi ziliitwa westlake zilikuwa ni afadhali sana, lakini sasa hivi hazipo!! Hata hizo goodride zipo size ndogo za vitz na IST ukija kwenye size 15 kuendelea kuna majina ya ajabu sana!!
Mie mpenzi wa Kumho, South Korea ila nazo hazipatikani zipo za gari kubwa tu za basi na malori!!
Niliweka tairi zinaitwa BOYA, mwaka mmoja tu sina tairi! Hizo triangle nazo kidogo zinitupe bondeni Lindi huko, mpya halafu zikapasuka π
Hakukuwa na tairi nyingine Man ilinibidi nifanye hivyo nilikuwa na safari ya haraka, tairi zilizokuwepo sikuziamini kabisa nikaona angalau nivae kiatu kipya!! Hilo Boya lilimwagika msimu huo halafu sijaiona tena!!Basi zilikuwa za kindezi! Tairi inaitwa Boya na wewe ukanunua mzee baba πππ???
Dah kweli yani sahizi kuna Wanda tyresHakukuwa na tairi nyingine Man ilinibidi nifanye hivyo nilikuwa na safari ya haraka, tairi zilizokuwepo sikuziamini kabisa nikaona angalau nivae kiatu kipya!! Hilo Boya lilimwagika msimu huo halafu sijaiona tena!!
Nadhan asilimia 90 ya gari za Viongozi wanatumia Dunlop AT version, iko vizuri sana, Ni imara, hazina kelele barabarani, hazirushi mawe na gari inakimbia kwa utulivu barabaraniBasi zilikuwa za kindezi! Tairi inaitwa Boya na wewe ukanunua mzee baba πππ???
Tatizo hela tu ila tairi kwa mjapani ni Dunlop, Bridgestone ama Yokohama, Mmarekani ni Bf Goodrich, Mfaransa ni Michelin, Muitaliano na Pirelli ama Mkorea na Hankook basi! Nje ya hapo ni matatizo tu tunataftaga
Hakukuwa na tairi nyingine Man ilinibidi nifanye hivyo nilikuwa na safari ya haraka, tairi zilizokuwepo sikuziamini kabisa nikaona angalau nivae kiatu kipya!! Hilo Boya lilimwagika msimu huo halafu sijaiona tena!!
Kama maboya fulani hivi!!Eti boya [emoji3][emoji3]
Mchina anatuchukuliaje
size?pia bei gani kwa pisi moja?Kuan tairi inaitwa sportrak. Nimefunga mwaka sasa, so far sijaona shida ya msingi na zimeshatembea km kama elfu 20