kwa watumiaji wa tairi hizi, watupe mtazamoa waoJ e tukifanya comparison between Dunlop and BF goodrich??
Hakuna kama YANA hapa TZ,we chunguza magari yote ya kazi ngumu,hapa nazungumzia TLC-Toyota Land Cruiser-Hard Top au Mkonga za kule halmashauri nyingi zimefungwa YANAPasipo kujali swala la BEI, naomba tujuzane kulingana na experience ni matairi gani imara zenye kustahimili aina zote za barabara...
Hizi hazijaingia sokoni mkuu!
Featuring an intricate resin spoke system, Bridgestone's new airless tireprovides the same level of shock absorption as an inflated tire without you having to worry about monitoring air pressure or changing a flat ever again.
Zitafute hizo au "MichelinTweel":
Hizi hazijaingia sokoni mkuu!
Kati ya hizo tairi inategemea na matumizi yako. Dunlop mara nyingi zinatembea kuanzia kilometa 40,000 kulingana na mtumiaji mwenyewe na utunzaji wake, Bf nazo ni hivyo hivyo na kwa bridgestone zenyewe zinaweza kufika 60,000 kulingana na matumizi na yana ni pungufu ya 30,000 kutokana na ubora wake.kwa watumiaji wa tairi hizi, watupe mtazamoa wao
- Dunlop
- BF Goodrich
- Bridgestone
- Yana
Mkuu hapo kwenye red wengi hatuzingatii na pesa iko wapi ?Swali kwako je hazipo zinazotumika katika mazingira yoye namanisha zimetengenezwa kwa akiri ya rough road na lami?Kati ya hizo tairi inategemea na matumizi yako. Dunlop mara nyingi zinatembea kuanzia kilometa 40,000 kulingana na mtumiaji mwenyewe na utunzaji wake, Bf nazo ni hivyo hivyo na kwa bridgestone zenyewe zinaweza kufika 60,000 kulingana na matumizi na yana ni pungufu ya 30,000 kutokana na ubora wake. Ila kwa watanzania wengi wanatumia hadi zile kilometa zinakuwa mara mbili yake.pia kuna mambo ya kuzingatia sababu tairi zinatengenezwa kulingana na mazingira tofauti. Utakuta mtu amefunga tairi za rough road wakati yeye mazingira yake 90% ni lami sasa usitegemee hizo tairi kudumu.