Tairi Imara kuliko Zote!

Tairi Imara kuliko Zote!

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,041
Reaction score
1,457
Pasipo kujali swala la BEI, naomba tujuzane kulingana na experience ni matairi gani imara zenye kustahimili aina zote za barabara. Ni kweli kuna aina na makampuni mengi ya ndani na nje ya nchi zinazozalisha matairi. Sasa hebu tusaidiane kwenye hili?

You are wellcome all for your valuable contribution
 
18kxnehbjlo9vjpg.jpg


Featuring an intricate resin spoke system, Bridgestone's new airless tireprovides the same level of shock absorption as an inflated tire without you having to worry about monitoring air pressure or changing a flat ever again.

Zitafute hizo au "MichelinTweel":

21-MICHELIN%20-%20Tweel%202005%20-%20002.jpg
 
Pasipo kujali swala la BEI, naomba tujuzane kulingana na experience ni matairi gani imara zenye kustahimili aina zote za barabara...
Hakuna kama YANA hapa TZ,we chunguza magari yote ya kazi ngumu,hapa nazungumzia TLC-Toyota Land Cruiser-Hard Top au Mkonga za kule halmashauri nyingi zimefungwa YANA
 
UOTE="Mbalamwezi1, post: 18320701, member: 189983"]Hakuna kama YANA hapa TZ,we chunguza magari yote ya kazi ngumu,hapa nazungumzia TLC-Toyota Land Cruiser-Hard Top au Mkonga za kule halmashauri nyingi zimefungwa YANA[/QUOTE]
Ww mkenya,nn
 
18kxnehbjlo9vjpg.jpg


Featuring an intricate resin spoke system, Bridgestone's new airless tireprovides the same level of shock absorption as an inflated tire without you having to worry about monitoring air pressure or changing a flat ever again.

Zitafute hizo au "MichelinTweel":

21-MICHELIN%20-%20Tweel%202005%20-%20002.jpg
Hizi hazijaingia sokoni mkuu!
 
kwa watumiaji wa tairi hizi, watupe mtazamoa wao
- Dunlop
- BF Goodrich
- Bridgestone
- Yana
Kati ya hizo tairi inategemea na matumizi yako. Dunlop mara nyingi zinatembea kuanzia kilometa 40,000 kulingana na mtumiaji mwenyewe na utunzaji wake, Bf nazo ni hivyo hivyo na kwa bridgestone zenyewe zinaweza kufika 60,000 kulingana na matumizi na yana ni pungufu ya 30,000 kutokana na ubora wake.

Ila kwa watanzania wengi wanatumia hadi zile kilometa zinakuwa mara mbili yake.pia kuna mambo ya kuzingatia sababu tairi zinatengenezwa kulingana na mazingira tofauti.

Utakuta mtu amefunga tairi za rough road wakati yeye mazingira yake 90% ni lami sasa usitegemee hizo tairi kudumu.
 
pia ni vizuri kuuliza kama tairi inafaa kutumika mpaka lini,I mean mwisho wa muda wa kutumika
 
Pirreli the best on road.
Goodride the best off road.
 
Kati ya hizo tairi inategemea na matumizi yako. Dunlop mara nyingi zinatembea kuanzia kilometa 40,000 kulingana na mtumiaji mwenyewe na utunzaji wake, Bf nazo ni hivyo hivyo na kwa bridgestone zenyewe zinaweza kufika 60,000 kulingana na matumizi na yana ni pungufu ya 30,000 kutokana na ubora wake. Ila kwa watanzania wengi wanatumia hadi zile kilometa zinakuwa mara mbili yake.pia kuna mambo ya kuzingatia sababu tairi zinatengenezwa kulingana na mazingira tofauti. Utakuta mtu amefunga tairi za rough road wakati yeye mazingira yake 90% ni lami sasa usitegemee hizo tairi kudumu.
Mkuu hapo kwenye red wengi hatuzingatii na pesa iko wapi ?Swali kwako je hazipo zinazotumika katika mazingira yoye namanisha zimetengenezwa kwa akiri ya rough road na lami?
 
Back
Top Bottom