Tairi za kuiinua juu Toyota Raum

Tairi za kuiinua juu Toyota Raum

Cassablanca

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
324
Reaction score
590
Habari!

Naomba kufahamishwa tairi za ukubwa gani zafaa kuinyanyua juu Toyota Raum ya mwaka 2005.

Nitafurahi pia kama nitapata taarifa za bei zake na wapi naweza kuzipata Dar es Salaam.
 
Habari!

Naomba kufahamishwa tari za ukubwa gani zafaa kuinyanyua juu Toyota Raum ya mwaka 2005.

Nitafurahi pia kama nitapata taarifa za bei zake na wapi naweza kuzipata Dar es Salaam.
Fungua mlango wa dreva, ukishafungua mlango, kabla ya kushuka, tizama kwenye kiuno chako kwa kulia, utaona size ya tairi inayoruhusiwa.
 
Fungua mlango wa dreva, ukishafungua mlango, kabla ya kushuka, tizama kwenye kiuno chako kwa kulia, utaona size ya tairi inayoruhusiwa.
Mkuu huyu anataka kufunga tyre tofauti na hizo zilizo andikwa hapo..
 
Mkuu huyu anataka kufunga tyre tofauti na hizo zilizo andikwa hapo..
LEGE huo mchezo wa kunyanyua magari (mf rim size 13 aafunga size 15) ili liwe juu juu naona una madhara mengi naona hata mileage zitadanganya, huu zui kuna mahali niliuona labda nikiupata
 
Nakusaidia Raum ni weka size hizi hapa chini haitagonga na itapendeza
Screenshot_2019-04-14-16-20-26-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari!

Naomba kufahamishwa tari za ukubwa gani zafaa kuinyanyua juu Toyota Raum ya mwaka 2005.

Nitafurahi pia kama nitapata taarifa za bei zake na wapi naweza kuzipata Dar es Salaam.
Mkuu uliweka size gani kwenye Raum yako?
 
Asante mkuu. Mbona kuna jamaa nilikutana nae anasema ukiweka 195. Gari inakwaruza sana.. tyres zinagusa bodi?
Ni kweli hata ukibeba kamzigo kadogo taili zinagusa body
 
Asante mkuu. Mbona kuna jamaa nilikutana nae anasema ukiweka 195. Gari inakwaruza sana.. tyres zinagusa bodi?
Hapana hazigusi labda shock up ziwe mbovu, hizo tairi ni za upana wa kawaida sana
 
Gari ilikuja na RIM size 14 na tyre size 14.. sasa kibongo bongo.. naona ipo chini sana kwenye barabara zetu.. nikirudisha RIM size 14. Na kuweka tyre R15 itakuwa imenyanyuka kwa kiasi kikubwa?
Labda nitafsiri kivyangu halafu utaoanisha na maelezo yako kabla hatujaingia kwanini usiweke tairi au rim kubwa kuliko iliyopendekezwa, kwani mzunguko wa kunesabu kilometer kule kweny Odometer utauchanganya, mfano mzunguko wa rim size 13 utasoma vizuri kuwa kilomita za Mji A mpaka Mji B ni 800km (mf Dar - Mwanza) lkn ukiweka rim size 15 Odometer inaweza kukuhesabia 750km hii ni kutokana na ile mashine iliyofungwa ndani katika Flywheel kwa ajili ya kuhesabu umbali
2 height ya rim itapishana na Coil spring au sunspension yoyote ya chasis na body lazima itakita na miguu itakuwa na matege ya ndani, bila wheelbalance na aligment tyre italiwa kwa ndani
ila km ni gari ya kutembelea town au shamba kukwepa bump au matuta funga tu
1602104461044.png

hapa kwa kiswahili changu ili kurekebisha hiyo Rim14 na Tyre R15 (Havitaendana maana bado R- imesogeleana na 15 ambayo inamaanisha size of Rim wakati R imesimama km Radial ambapo mwenzake ni Bias katika utengenezaji, hiyo nitakuwekea video yake
tukirudi kwenye picha hiyo
195 ni upana wa soli km ya kiatu kinapokanyaga chini
55 ni urefu kwenda juu wa tyre linapokanyaga kutoka chini
R ni muundo wa utengenezaji unaofanya libonyee na kunesa tofauti na Bias linalodunda bila kubonyea
14 ni upana wa rim utakayovika tyre yako
87 uzito kwa kilogram kwa kila tyre utakaobebwa
v speed
155This number indicates that your tire has a width of 155 millimeters.
80This number means that your tire has an aspect ratio of 80%. In other words, your tire's sidewall height (from the edge of the rim to the tire's tread) is 80% of the width. In this case, the sidewall height works out to be 124 millimeters.
RThis letter denotes how your tire was constructed. Radial is the standard construction method for about 99% of all tires sold today.
RRadial
BBias Belt
DDiagonal
13The tire size was designed to fit rims or wheels that are 13 inches in diameter.
 

Attachments

  • 1602104074125.png
    1602104074125.png
    25.4 KB · Views: 18
Asante mkuuu

.. ngoja tuendelea kupokea ushauri kwa wenye Raum.. najua wapo wengi humu
sina Raum ila natumia gari aina tofauti, na nimetumia matairi ya iana nyingi kuanzia General tyre ya Arusha mpaka nilipokuja kukwama kwa Mchina anayetumiya nyaya, na ninasema huwa hayapasuki
sasa nimalizie Radial na Bias

naona umeelewa matumizi ya herufi R
 
Back
Top Bottom