Gari ilikuja na RIM size 14 na tyre size 14.. sasa kibongo bongo.. naona ipo chini sana kwenye barabara zetu.. nikirudisha RIM size 14. Na kuweka tyre R15 itakuwa imenyanyuka kwa kiasi kikubwa?
Labda nitafsiri kivyangu halafu utaoanisha na maelezo yako kabla hatujaingia kwanini usiweke tairi au rim kubwa kuliko iliyopendekezwa, kwani mzunguko wa kunesabu kilometer kule kweny Odometer utauchanganya, mfano mzunguko wa rim size 13 utasoma vizuri kuwa kilomita za Mji A mpaka Mji B ni 800km (mf Dar - Mwanza) lkn ukiweka rim size 15 Odometer inaweza kukuhesabia 750km hii ni kutokana na ile mashine iliyofungwa ndani katika Flywheel kwa ajili ya kuhesabu umbali
2 height ya rim itapishana na Coil spring au sunspension yoyote ya chasis na body lazima itakita na miguu itakuwa na matege ya ndani, bila wheelbalance na aligment tyre italiwa kwa ndani
ila km ni gari ya kutembelea town au shamba kukwepa bump au matuta funga tu
hapa kwa kiswahili changu ili kurekebisha hiyo Rim14 na Tyre R15 (Havitaendana maana bado R- imesogeleana na 15 ambayo inamaanisha size of Rim wakati R imesimama km Radial ambapo mwenzake ni Bias katika utengenezaji, hiyo nitakuwekea video yake
tukirudi kwenye picha hiyo
195 ni upana wa soli km ya kiatu kinapokanyaga chini
55 ni urefu kwenda juu wa tyre linapokanyaga kutoka chini
R ni muundo wa utengenezaji unaofanya libonyee na kunesa tofauti na Bias linalodunda bila kubonyea
14 ni upana wa rim utakayovika tyre yako
87 uzito kwa kilogram kwa kila tyre utakaobebwa
v speed
| 155 | This number indicates that your tire has a width of 155 millimeters. |
| 80 | This number means that your tire has an aspect ratio of 80%. In other words, your tire's sidewall height (from the edge of the rim to the tire's tread) is 80% of the width. In this case, the sidewall height works out to be 124 millimeters. |
| R | This letter denotes how your tire was constructed. Radial is the standard construction method for about 99% of all tires sold today.
| R | Radial | | B | Bias Belt | | D | Diagonal |
|
| 13 | The tire size was designed to fit rims or wheels that are 13 inches in diameter. |