Taiwan kupata Makombora mapya ya kuzamisha Meli kutoka Marekani

Axel Lloyd

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
4,170
Reaction score
9,500
Utawala wa Biden umeomba idhini Bunge la Congress kuruhusu kuiuzia Taiwan Makombora ya kuzamisha Meli, Makombora ya kulipua ndege pamoja na Rada za kisasa za uchunguzi kwenye dili la thamani ya Dola bilioni moja.

United States President Joe Biden plans to ask Congress to approve an estimated $1.1bn arms sale to the self-ruled island of Taiwan, including 60 anti-ship missiles and 100 air-to-air missiles, according to Politico.

The package, which is still in an early stage, includes 60 AGM-84L Harpoon Block II missiles for $355m, 100 AIM-9X Block II Sidewinder tactical air-to-air missiles for $85.6m, and $655.4m for a surveillance radar contract extension, three people familiar with the matter told the publication.

The Sidewinder missiles will be used to arm Taipei’s US-made F-16 fighter jets.

Source: Aljazeera

Biden to ask for approval for $1.1bn arms sale to Taiwan: Report
 
Haters wa US usema:, hata Roma ilianguka.
Ni kweli, ilianguka.. Fact moja kuu na kubwa ya tawala za kale kuanguka ni kwamba waliishi katika nyakati za kutegemea nguvu zaidi na akili kidogo.
Yaan wewe ukiwa na Empire yako ukaandaa mamia/maelfu ya vijana wakakamavu na wenye nguvu ni lazima ukaangushe ufalme fulani.

Mambo sasa yamebadilika, ubebe si nguvu tena bali rasilimali akili..
Marekani kawekeza kwenye rasimali akili na sio rasilimali asili kama mataifa mengine.
Unaona Urusi anajivunia kuwa na rasilimali asili(Gasi) lakini rasimali akili inaweza ku turn upside down na kufanya anachojivunia Urusi kiwe ni taka taka isiyohitajika katika ulimwengu wa sasa.

Almost watu wenye IQ kubwa ukimbilia Marekani na si China wala Urusi 😂😂.
Marekani ni nchi inayo kufanya uwe unavyotaka kuwa si kuwa kama watawala wanavyotaka uwe. kwa sera hiyo inaifanya US kuwa nchi inayopokea maombi mengi ya uhamiaji kuliko nchi nyingine duniani.
God Bless US.
 
Bora china ikichukue kisiwa hicho kijeshi kwani ubebetu wa marekani utazidi kuleta chokochoko na kuweka mazingira magumu kutumia nguvu kwa siku za usoni.
Watu wa taiwan watazidi kuchanganywa na media ya taiwai iliyohodhiwa na vibaraka wa marekani na kuwachagua viongozi wapinga uchina.
 
Haters wa US usema:, hata Roma ilianguka.
Ni kweli, ilianguka.. Fact moja kuu na kubwa ya tawala za kale kuanguka ni kwamba waliishi katika nyakati za kutegemea nguvu zaidi na akili kidogo.
Yaan wewe ukiwa na Empire yako ukaandaa mamia/maelfu ya vijana wakakamavu na wenye nguvu ni lazima ukaangushe ufalme fulani.

Mambo sasa yamebadilika, ubebe si nguvu tena bali rasilimali akili..
Marekani kawekeza kwenye rasimali akili na sio rasilimali asili kama mataifa mengine.
Unaona Urusi anajivunia kuwa na rasilimali asili(Gasi) lakini rasimali akili inaweza ku turn upside down na kufanya anachojivunia Urusi kiwe ni taka taka isiyohitajika katika ulimwengu wa sasa.

Almost watu wenye IQ kubwa ukimbilia Marekani na si China wala Urusi [emoji23][emoji23].
Marekani ni nchi inayo kufanya uwe unavyotaka kuwa si kuwa kama watawala wanavyotaka uwe. kwa sera hiyo inaifanya US kuwa nchi inayopokea maombi mengi ya uhamiaji kuliko nchi nyingine duniani.
God Bless US.
Na huu ndo ukweli mchungu kwa watu ambao hawaipendi USA. Mfano mmoja Elon mask ni mzaliwa wa South Africa
 
Kazi ya US ni kuchonganisha nchi zipigane apate kuuza silaha zake! Kwa hiyo hapo ambacho amekifanya kwa miaka ni kuzichonganisha China na Taiwani zipigane ili anufaike kama kama anavyonufaika kwenye mgogoro wa Russia na Ukraine.
Ukraine anapata misaada ya silaha na misaada mingine ambayo gharama za kulipa itachukua miaka na miaka kwa Ukraine kuzilipa.KWA MAREKANI HAKUNA MISAADA YA BURE.
 
Noma Sana
Urusi inajivunia gesi na mafuta kitu ambacho hata Tz tunacho chini ya Ardhi , Nigeria, US,Qatar, Libya etc wanayo.
Leo Surveyers wakienda burundi after several months utasikia ardhi ya burundi nayo ina gesi na mafuta..
Lakini Marekani yeye anajivunia Rasimali akili na Technology kitu ambacho Tanzania hatuna, burundi hawana,Qatar, Nigeria etc hawana, China wanaweza kuwa nayo but ni copy na paste YAO, Urusi hawana, waliyonayo haifanyi kazi kama zinavyogfanya kazi tech za Us.
Unajua huawei?. Katika simu zote za Android huawei ni Kiboko kwenye simu zake , HUAWEI ina features kibao ambazo simu zingina za android hazina lakini US alipo sema HAPANA, mwaka jana kampuni ilisema wanaanzisha Runch ya kufuga nguruwe baada ya katazo la US...
I'm telling you.... China anaiogopa US kuliko Waafrica tunavyoigopa US. China anaijua nguvu ya US kuliko sisi watanzania wa Jf... Hakuwa mjinga alivyoikubali ile haibu.
 
Haters wa US usema:, hata Roma ilianguka.
Ni kweli, ilianguka.. Fact moja kuu na kubwa ya tawala za kale kuanguka ni kwamba waliishi katika nyakati za kutegemea nguvu zaidi na akili kidogo.
Yaan wewe ukiwa na Empire yako ukaandaa mamia/maelfu ya vijana wakakamavu na wenye nguvu ni lazima ukaangushe ufalme fulani.

Mambo sasa yamebadilika, ubebe si nguvu tena bali rasilimali akili..
Marekani kawekeza kwenye rasimali akili na sio rasilimali asili kama mataifa mengine.
Unaona Urusi anajivunia kuwa na rasilimali asili(Gasi) lakini rasimali akili inaweza ku turn upside down na kufanya anachojivunia Urusi kiwe ni taka taka isiyohitajika katika ulimwengu wa sasa.

Almost watu wenye IQ kubwa ukimbilia Marekani na si China wala Urusi 😂😂.
Marekani ni nchi inayo kufanya uwe unavyotaka kuwa si kuwa kama watawala wanavyotaka uwe. kwa sera hiyo inaifanya US kuwa nchi inayopokea maombi mengi ya uhamiaji kuliko nchi nyingine duniani.
God Bless US.
Unafahamu kuwa China inaongoza kuwa na watu wenye IQ kubwa kuliko U.S.A ?
 
Haters wa US usema:, hata Roma ilianguka.
Ni kweli, ilianguka.. Fact moja kuu na kubwa ya tawala za kale kuanguka ni kwamba waliishi katika nyakati za kutegemea nguvu zaidi na akili kidogo.
Yaan wewe ukiwa na Empire yako ukaandaa mamia/maelfu ya vijana wakakamavu na wenye nguvu ni lazima ukaangushe ufalme fulani.

Mambo sasa yamebadilika, ubebe si nguvu tena bali rasilimali akili..
Marekani kawekeza kwenye rasimali akili na sio rasilimali asili kama mataifa mengine.
Unaona Urusi anajivunia kuwa na rasilimali asili(Gasi) lakini rasimali akili inaweza ku turn upside down na kufanya anachojivunia Urusi kiwe ni taka taka isiyohitajika katika ulimwengu wa sasa.

Almost watu wenye IQ kubwa ukimbilia Marekani na si China wala Urusi [emoji23][emoji23].
Marekani ni nchi inayo kufanya uwe unavyotaka kuwa si kuwa kama watawala wanavyotaka uwe. kwa sera hiyo inaifanya US kuwa nchi inayopokea maombi mengi ya uhamiaji kuliko nchi nyingine duniani.
God Bless US.
Fact
 
Urusi inajivunia gesi na mafuta kitu ambacho hata Tz tunacho chini ya Ardhi , Nigeria, US,Qatar, Libya etc wanayo.
Leo Surveyers wakienda burundi after several months utasikia ardhi ya burundi nayo ina gesi na mafuta..
Lakini Marekani yeye anajivunia Rasimali akili na Technology kitu ambacho Tanzania hatuna, burundi hawana,Qatar, Nigeria etc hawana, China wanaweza kuwa nayo but ni copy na paste YAO, Urusi hawana, waliyonayo haifanyi kazi kama zinavyogfanya kazi tech za Us.
Unajua huawei?. Katika simu zote za Android huawei ni Kiboko kwenye simu zake , HUAWEI ina features kibao ambazo simu zingina za android hazina lakini US alipo sema HAPANA, mwaka jana kampuni ilisema wanaanzisha Runch ya kufuga nguruwe baada ya katazo la US...
I'm telling you.... China anaiogopa US kuliko Waafrica tunavyoigopa US. China anaijua nguvu ya US kuliko sisi watanzania wa Jf... Hakuwa mjinga alivyoikubali ile haibu.
Nanukuu maneno Ya Trump Africa is shit hole
 
unazuiaj sehem kujipatia uhuru wao ? ebu ifuatilie Taiwan , inajitawala kwa kila kitu kasoro kutambulika tu na kikwazo ni serikali ya China
Hayo makomunist ni hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom