Taiwan kupata Makombora mapya ya kuzamisha Meli kutoka Marekani

Taiwan kupata Makombora mapya ya kuzamisha Meli kutoka Marekani

Bora china ikichukue kisiwa hicho kijeshi kwani ubebetu wa marekani utazidi kuleta chokochoko na kuweka mazingira magumu kutumia nguvu kwa siku za usoni.
Watu wa taiwan watazidi kuchanganywa na media ya taiwai iliyohodhiwa na vibaraka wa marekani na kuwachagua viongozi wapinga uchina.
China ilikuwa wap mpk marekan ikapandikiza watu ndan ya Taiwan?
 
Back
Top Bottom