Taiwan yaungana na Marekani, yadai Huawei ni kirusi cha kichina, Trojan Horse, yadai wao walishaipiga marufuku toka 4G inaanza

Taiwan yaungana na Marekani, yadai Huawei ni kirusi cha kichina, Trojan Horse, yadai wao walishaipiga marufuku toka 4G inaanza

Ni wajinga tu wanacheza ngoma ya mabeberu hao sweden ndio malaika kwamba hawawezi kufanya udukuzi? Kama vipi wajenge mitambo yao ya 5G na wasiwe tegemezi.
Beggers cannot be choosers


Well said, be blessed - haya mambo ya Wamerika kuwakokota Waswede ina lengo moja nalo ni kuhakikisha Huawei inashindwa kusambaza telecom equipment kwa Mataifa ambayo yako interested na products za Huawei - wanasayansi specifically telecoms Engineers wamezifanyia bench mark tests telecom equipment za kampuni za Ericssison na Nokia zote hakuna inayo zidi cut throat speed za Huawei her rivals still have a longway to go i.e to beat Huawei throughput.

Demand ya teknolojia ya 5G ni kubwa sana Duniani, hii inawahuma sana akina Trump na kampuni za kimerikani zinazo uunda mitambo ya mawasiliano kwa kuwa hawana teknolojia ya 5G to talk about ndio maana wanashirikiana na kampuni ya Sweden in a shotgun marriage ili waihujumu Huawei wakiwa na imani kwamba ndani ya miaka miwili US itakuwa imefanikiwa ku-roll out 5G kwa ku-reverse engineer radio equipment za Huawei hiyo ndio strategy wanayo taka kutekekeza - wakisha fanikisha hazma wataanza kuwageuzia kibao kampuni za Ericsson na Nokia ili azipore projects zote za ku-install 5G cellphone networks kwenye Mataifa mbali mbali Duniani, kumbukeni kilicho ikumba kampuni ya Alstrom, Ufaransat - hilo ndilo lengo kuu la mafiosa hawa - grab everything available, let what comes may, ni suala la muda tu kabla makampuni ya Nokia na Ericsson hayajaonja joto la jiwe, watageuziwa kibao mpaka washikwe na butwaa.
 
Back
Top Bottom