Taj Mahal: Urithi wa dunia, taji la Malkia lililosimama tangu karne ya 17

Taj Mahal: Urithi wa dunia, taji la Malkia lililosimama tangu karne ya 17

Simulizi za Emporor Shah Jahan zinasema alikuja pinduliwa na mwanae baada ya kuumwa sana baadae akawekwa kwenye house arest mpaka alipokufa...Kisha ndio akaenda kuzikwa pembeni ya kipenzi chake Mumtaz Mahal.
 
Umaskini Mbaya sana,wenzetu wazungu wanakuja kwetu kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini mwetu,ila sisi tunaishia kusoma tu.
tena kama hao wahindi wala hawajihangaishi kuandika mambo yetu, lakini sisi sasa......
 
tena kama hao wahindi wala hawajihangaishi kuandika mambo yetu, lakini sisi sasa......
Matangazo,utamaduni na upatikanaji wa taarifa.Mimi nimeandika kuhusu Taj Mahal lakini sijawahi kuiona wala kufika India sababu yapo mengi yaliyoandikwa kuhusu Taj Mahal. Lakini unaweza taka kuandika kitu au kujifunza kuhusu Serengeti ukakosa vyanzo vya taarifa sababu ni machache tunayoweka kwenye maandishi,na mbaya zaidi tukiandika basi ni vitabu na magazeti mitandaoni hatuweki.
 
Back
Top Bottom