greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Movies/Sinema/Series nyingi pendwa na zenye kutamba unakuta zimegewa a.k.a ambazo hufanya watu wasijue jina halisia...
Leo nataka watu mtaje a.k.a /majina ya utani ya hizo sinema wengine watakusaidia kutaja jina halisia....
Mimi naanza
Leo nataka watu mtaje a.k.a /majina ya utani ya hizo sinema wengine watakusaidia kutaja jina halisia....
Mimi naanza
- MATHIAS KISIMA CHA MAMBA- NO RETREAT NO SURRENDER 2 (1987)
- JACKIE CHAN MMASAI-WHO AM I (1998)
- WABAS- WAR BUS (1985)
- YINA NA ANGELO - PANGAKOL SA 'YO( 2000-2002)