Taja a.k.a ya Movie Utajiwe Jina halisia

Taja a.k.a ya Movie Utajiwe Jina halisia

Okay....Movie inaitwa STRIKER...
Huyo Zagarino ndiyo wa kwenye
Komando kipensi na ni adui wa kwenye movi e ya No retreat No surrender...
Frank zagarino hajacheza kwenye deadly prey, alikuwa nani, starring mule ni ted prior, akitumia jina la mike

Ni adui kwenye no retreat no surrender ipi mkuu.. Maana ya kwanza adui ni van damme, ya 2 adui ni mattias hues, ya 3 adui rion hunter kama sijakosea spellings.
 
my Bad,,,,nimedakwa,,,,ilikuwa ni Project shadowchaser 1,2 na 3
 
Sijawahi iona hii...though hiyo a.k.a nimeskia sana
Utakua umeiona jamaa anaharbika mkono baada ya kung'atwa deadlies atakata kiganja ataweka chainsawa then huku anaa bunduki na kuna kitabu kikifunguka kikigomea ukurasa ndo kinachotokea
 
Back
Top Bottom