Taja a.k.a ya Movie Utajiwe Jina halisia

Nimeliona hilo cover na kucheki trailer...ila sijawahi iona...
 
BABu wa kichina anapata nguvu zake kutoka kwa vigori(mzee ananywele nyeupe anapga hatar atapanga ukmchoma iliingii ndani)
 
Heroes shed no tears... Hii jamaa anatobolewa macho anakuja kuokolewa na mtoto wake... Kuna kipande mtoto anajifukia chini asiungue na moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…