Taja aina ya muziki usioupenda

Muziki huwa ni burudani toka enzi hizo, tatizo haieleweki point yenu ni kwamba miziki ya sasa sio mizuri au kwamba ina matusi?
Sio muziki na hauna maadili......umejaa matusi na uhamasishaji wa ngono na bangi.
 
Sio muziki na hauna maadili......umejaa matusi na uhamasishaji wa ngono na bangi.
Ndio maana nikasema mmegoma kukubali mabadiliko mlitaka muziki ubakie vilevile watu waimbe kama enzi za miaka ya 70 huko, ulitakiwa useme kuwa wewe ni mpenzi wa nyimbo za zamani ila sio kuanzia kusema sasa hivi hakuna muziki mara sijui maadili. Kuna nyimbo nyingi sana sasa hivi zipo hizo unazosema zina matusi na ambazo hazina matusi.

Halafu hata hizo nyimbo zenu za zamani zilikuwepo zilizokuwa na matusi pia kama za Issa Matona.
 
Mkuu ndio maana nimekuomba unisikilizishe wimbo wa zamani hata mmoja wenye matusi na unaohamasisha ngono na bangi umeshindwa. Kiukweli sasa hivi hakuna muziki bali vurugu tu. That is why wanajiita wasanii na sio wanamuziki. Hawana lingine zaidi ya kutujazia matusi na tamaa za bangi na ngono kwenye jamii.
 
RNB
MCHIRIKU
SINGELI
BONGO FLAVOR
 
Hivi singeli ni muziki au ni kelele?
 
Bongo fleva.....sioni uzuri wake hata kidogo
 
Singeli,mchiriku,taarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…