Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Wengi humu hatujuani lakini tunafanya imagination tu kwamba mtu fulani atakuwa wa ivi sana sana imagination inakujia kutokana na majina wanayotumia watu, avatar na michango ya mhusika.

Leo tuangalie avatar na michango ambayo inachukua nafasi katika kuwakilisha muonekano wako.

Taja jina moja unalovutiwa na avatar yake na vijimaelezo kidogo vya kusindikiza..
Mimi naanza na huyu manzi wakuitwa PAULA PAUL aisee mi nikionaga avatar yake tu basi mie hoi aisee mwili na viungo vinakosa ushirikiano..na inaonekana hata alivyo toto moja zuri sana mtepetepe fulani ivi halafu wakishua..kasoro yake moja tu inaonesha mtu wa maringo sana na viingereza vingi kama vyakina wema sepetu

IMG_20201119_152039.jpeg
 
Back
Top Bottom