Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Siikumbuki,nikumbushe..ilikuwaje??Ya nywele nadhani.
Usiwe unabadilisha...unatupa wakati mgumu wapendaji.
Mdada kasimama kageuka nyuma....mwenye nywele natural nyeusi sio ndefu saana za kun'gaa.Siikumbuki,nikumbushe..ilikuwaje??
Mimi siwezi vumilia bila kubadili[emoji3]
Ngoja niikumbukeMdada kasimama kageuka nyuma....mwenye nywele natural nyeusi sio ndefu saana za kun'gaa.
Lips ya Taifa ,HahahahaKinachokupa taabu ni hiyo lips ya taifa mkuu?
Rafiki yangu hivi unajuaga avatar yako inatikisa ubongo wangu😁Lips ya Taifa ,Hahahaha
Nimeshaikumbuka ila Nadhani niliifutaMdada kasimama kageuka nyuma....mwenye nywele natural nyeusi sio ndefu saana za kun'gaa.
Lenie nimeamini maneno yako mdogo wangu.!! Hapana hakuna mtu..!
Niwakati sasa wa kutoa zawadi mujarab kabisa...
Hahahaha, dah ,ahsante RafikiRafiki yangu hivi unajuaga avatar yako inatikisa ubongo wangu[emoji16]
Naomba tu ukipata mda badae uje unisaidie kubeba mizigo, ndo nafungasha virago vyangu nikaanze maisha mapya. Ataniua kwa presha huyu kijana
Zawadi nonoTangu lini zawadi nono ikatangazwa?[emoji28]jaribu bahati jombaa
Ooooh!!!! Ahsante sana jamani.. Sifa umenipa hizi@PTER umeifanya Weekend yangu kuanza vizuri kabisa.
Ukiwa......mwongo uje na avatar nyingine....Kupenda avatar...nikiwa mkweli...
Naipenda avatar ya bbade .......sijui sababu.
Pia kuna wadada wawili sijui wamepotelea wapi..... cherie neisha na mkongwe mmoja acha nimkumbuke jina....
Itafute aiseeh....unatukosesha amani wapendaji.Nimeshaikumbuka ila Nadhani niliifuta
Sijaiona kwenye gallery yangu.
Leo nafufuka rasmi....mpaka.mtakatifu Anne umenikumbuka....
Wala sijawa mwongo.... nadhani kati comments za siku yangu ya leo....hii ndiyo iliyojaa ukweli mtupu ndani yake.Ukiwa......mwongo uje na avatar nyingine....
Kitambo....upo kweli?
Asante kwa kuipenda ....
Nimekukumbuka mpenzi[emoji7][emoji8]Leo nafufuka rasmi....mpaka.mtakatifu Anne umenikumbuka....
Asante kipenziii....[emoji7][emoji3059]