Yangu mwenyeweMtaje wako nawewe
Domo denda sioHii nikionaga neurotransmitters zinavuruga sanaView attachment 1630061
πππ Basi yakoYako mwenyewe haiwezekani
[emoji23][emoji23], hata comments zake kwenye threads mbalimbali, nisipoona comment ya #chakorii kwenye thread sijiskii poaKinachokupa taabu ni hiyo lips ya taifa mkuu?
domo denda haijakaa fresh, sema lips dendaaaDomo denda sio
Mtaje please labda ni mimiKuna mmoja siwezi mtaja, kaweka avatar ya ajabu yaani haina mvuto walaqhi, ila vile I am crushing on him huwa najikuta na fall in love na ile avatar yake kila nikiiona..!! [emoji23]
AhaaaWengi humu hatujuani lakini tunafanya imagination tu kwamba mtu fulani atakuwa wa ivi sana sana imagination inakujia kutokana na majina wanayotumia watu, avatar na michango ya mhusika.
Leo tuangalie avatar na michango ambayo inachukua nafasi katika kuwakilisha muonekano wako.
Taja jina moja unalovutiwa na avatar yake na vijimaelezo kidogo vya kusindikiza..
Mimi naanza na huyu manzi wakuitwa PAULA PAUL aisee mi nikionaga avatar yake tu basi mie hoi aisee mwili na viungo vinakosa ushirikiano..na inaonekana hata alivyo toto moja zuri sana mtepetepe fulani ivi halafu wakishua..kasoro yake moja tu inaonesha mtu wa maringo sana na viingereza vingi kama vyakina wema sepetu
View attachment 1629935
Kuna mmoja siwezi mtaja, kaweka avatar ya ajabu yaani haina mvuto walaqhi, ila vile I am crushing on him huwa najikuta na fall in love na ile avatar yake kila nikiiona..!! [emoji23]
Yeuwwwwwyeeeπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈKumbe mwandiko wangu unasomwa sana π[emoji23][emoji23], hata comments zake kwenye threads mbalimbali, nisipoona comment ya #chakorii kwenye thread sijiskii poa
π§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ₯π₯domo denda haijakaa fresh, sema lips dendaaa
Nimeshayasema sana hayo maneno mkuu..uko endelea kuperuzi utayaonaSema neno ladie
Sema neno ladieNafuatilia comments.