Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Huwa sivutiwi na avatar. Navutiwa na maneno anayoandika mtu, yanaakisi ni mtu wa aina gani.
Ni kweli na katika hili la maneno sijaona narudia sijaona wa kumfananisha na Heaven Sent

hii ni kwa uono wangu,ni moja ya mtu unaeweza enda pm ukaomba akushauri kitu maana unajua

chochote atakachokwambia kitakua kimethibitishwa na TBS,napenda kila comment yake huyu mtu.

ID yake na anayo yaandika havipishani,bibi wewe Mungu akubariki huko uliko,napataga vitu sana kupitia comment zako.
 
Asante sana kwa ujumbe wako,hakika umzungumziaye aliyeweka Avatar ya actor wa US ni mimi hapa,karibu sana.😍
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… weeee usiniambie
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… weeee usiniambie
Sijawahi kujibu PM wala kumtumia msg PM mtu yeyote humu ila nipo tayari kukukaribisha pm uje huku kwa Malkia tuendelee kuzichanga noti.πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…