Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Huwa sivutiwi na avatar. Navutiwa na maneno anayoandika mtu, yanaakisi ni mtu wa aina gani.
Ni kweli na katika hili la maneno sijaona narudia sijaona wa kumfananisha na Heaven Sent

hii ni kwa uono wangu,ni moja ya mtu unaeweza enda pm ukaomba akushauri kitu maana unajua

chochote atakachokwambia kitakua kimethibitishwa na TBS,napenda kila comment yake huyu mtu.

ID yake na anayo yaandika havipishani,bibi wewe Mungu akubariki huko uliko,napataga vitu sana kupitia comment zako.
 
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 weeee usiniambie
Sijawahi kujibu PM wala kumtumia msg PM mtu yeyote humu ila nipo tayari kukukaribisha pm uje huku kwa Malkia tuendelee kuzichanga noti.😀
 
Back
Top Bottom