Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Hahahahahaha sikumbuki vizuri ila kama sikosei alitia ngumu kisha akakubali kuirudisha ila kumbukumbu zangu kama ni nzuri haikukaa sana kisha akaiondoa tena. Hizi avatar zina mambo aisee niliwahi kubadili yangu watu ambao hata sikuwa na mazoea nao wakanifuata pm kutaka niirudishe mpya hawakuipenda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilishangaa sana lakini wahenga walisema wengi WAPE.

Usiniambie alikuwa na lijisambwanda...nyie Haya Hayako fea kabisa..
Ehee ikawaje sasa..
 
Hahaha mazoea mabaya sana😁😁lakini unajua kuwa watu huwa tunaanza kuangalia avatar ndipo Id inafuata?yes ni mazoea mabaya ujue 😁😁

Yangu kila nikibadilisha naombwa niirudishe mpka siku watakaponipatia mpya/niweke mbili tatu wachague mbadala😁😁
 
Hii ya kwako ndiyo niipendayo. Huwa unaniudhi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukiweka ya kiume lakini huwa napiga kimya tu lol!!!

Hii ya kwako ndiyo niipendayo. Huwa unaniudhi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukiweka ya kiume lakini huwa napiga kimya tu lol!!!
Kwahiyo ulikuwa unakufa na tai shingoni baba😁😁usifanya hivyo siku nyingine.
Hata yako huwa naipendaga ujue πŸ˜‚

Basi itabidi nilete mbili tatu uchague😁😁😁maana kuna wakati natamani kuibadilisha
 
Reactions: BAK
Mara ya kwanza kabisa ulipoiondoa nilikufuata pm nikakupa za uso πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kisha nikaondoka zangu lol!!! UKAIRUDISHA. Hivi kwanini unapenda za kiume?

Kwahiyo ulikuwa unakufa na tai shingoni baba😁😁usifanya hivyo siku nyingine.
Hata yako huwa naipendaga ujue πŸ˜‚

Basi itabidi nilete mbili tatu uchague😁😁😁maana kuna wakati natamani kuibadilisha
 
Huo mdomo ni wewe halisi?
 
Mara ya kwanza kabisa ulipoiondoa nilikufuata pm nikakupa za uso πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kisha nikaondoka zangu lol!!! UKAIRUDISHA. Hivi kwanini unapenda za kiume?
😁😁kwahiyo unajisifia ulinipa za uso sio!

BAK unaadhabu yako iko jikoni inamalizikia kuiva wallah😁😁

Kuna wakati napenda kuvuruga watu tu washindwe kunielewa😁😁na mara nyingi naweka ya kiume kama nikiwa buzy kwenye uzi ambao nimetumia maandishi ya kiume
 
Reactions: BAK
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unaweza uwe wangu au usiwe Chief..kwani hii dunia ni yetu basi[emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi naulizia kwasasa ni wewe mwenyewe mhusika wa hiyo bidhaa (mdomo) ? (Dunia ni yetu tukiwa hai tunawasiliana)
 
Haya wewe chemsha tu hiyo miti shamba ila usitie sukari nyingi lol!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

We endelea kucheka tu nakwambia 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Haya wewe chemsha tu hiyo miti shamba ila usitie sukari nyingi lol!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Akuuuu sitii sukari kabisa..nitakutilia pilipili kichaa uwashwe weeee😁😁😁
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…