primolut N
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 391
- 316
Duh! Pole Mzee BabaNi Kahumba Mkuu. Hiyo sehemu kuna mwaka huko nyuma ilinifanya nichome sana Sindano Kali za Antibiotic ili Kuunusuru Mkuyenge wangu usinyofoke wote kutoka pale ambapo uliumbwa na Muumba uwe unakaa huku kila asubuhi mnara wa Babeli huwa unanyooka.
Morogoro Shikamooni na Kahumba yenu!