Iko moja huko A town inaitwa matako baa eneo la Sanawari, kutoka stendi unaingia barabara ya Nairobi unaelekea Dar. Hapo kuna tukunyema zinakaribia kuanguka!Rejea tu Kichwa cha habari ( Headline ) hapo juu kisha tiririka na serereka zako tu Mkuu.
Hapo kwenye neno Totooz nimemaanisha Warembo ( Wanawake wazuri wazuri ) tafadhali.
Nawasilisha.
afadhali umemsahihisha hapo ni mauzo ya K tu hatuna bar paleHapo ni wauzaji tu,
Bora ungesema THE PICNIC na MILESTONES.
majambaz kvp hpo hebu fafanua nani aliwahi kutightishwaUbaya wa picnic majambazi mengi ya arusha ndo kijiwe chao
napapata hapo mkuu..kuna lile bar made bonge nilikua nalilia timing,bahati yake niliondoka mwanza mapema.Ukiwa mwanza kuna moja inaitwa Plazma ni hatari sana.
For the local mtaani bar still Denfrance is the best for me, ila tukija kwny hizi kubwa kubwa Elements is my favorite kwa totoz za ukweliRejea tu Kichwa cha habari ( Headline ) hapo juu kisha tiririka na serereka zako tu Mkuu.
Hapo kwenye neno Totooz nimemaanisha Warembo ( Wanawake wazuri wazuri ) tafadhali.
Nawasilisha.
Hapo umenena hasaPin Point,The Don,Empire Sports Bar, Andrews, Sky Lounge,Mississippi, Bougaloo, Via Via na Cappuccino zote za Arusha ni balaa.Unakula Stereo ya kufa mtu.
Naungana na Mleta Mada kuwa Kuna Bar ina wanawake wazuri Mno kuliko hata hao wanaonekana wazuri kwa kupaka Majivu usoni na tomato sources kwenye lips stick na kuvaa nywele za katani kichwani.Wanawake wazuri wanapatikana baa? Au uzuri umetafsiriwaje hapa?
City pub Mbeya
Ha ha ha.Kibo pub masasi