Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

Rejea tu Kichwa cha habari ( Headline ) hapo juu kisha tiririka na serereka zako tu Mkuu.

Hapo kwenye neno Totooz nimemaanisha Warembo ( Wanawake wazuri wazuri ) tafadhali.

Nawasilisha.
Iko moja huko A town inaitwa matako baa eneo la Sanawari, kutoka stendi unaingia barabara ya Nairobi unaelekea Dar. Hapo kuna tukunyema zinakaribia kuanguka!
 
Rejea tu Kichwa cha habari ( Headline ) hapo juu kisha tiririka na serereka zako tu Mkuu.

Hapo kwenye neno Totooz nimemaanisha Warembo ( Wanawake wazuri wazuri ) tafadhali.

Nawasilisha.
For the local mtaani bar still Denfrance is the best for me, ila tukija kwny hizi kubwa kubwa Elements is my favorite kwa totoz za ukweli
 
Pin Point,The Don,Empire Sports Bar, Andrews, Sky Lounge,Mississippi, Bougaloo, Via Via na Cappuccino zote za Arusha ni balaa.Unakula Stereo ya kufa mtu.
Hapo umenena hasa
 
Wanawake wazuri wanapatikana baa? Au uzuri umetafsiriwaje hapa?
Naungana na Mleta Mada kuwa Kuna Bar ina wanawake wazuri Mno kuliko hata hao wanaonekana wazuri kwa kupaka Majivu usoni na tomato sources kwenye lips stick na kuvaa nywele za katani kichwani.

Mkuu Demu aliyemzuri Bar akivaa hayo madudu ya hao unaowasema ni wazuri utakimbia?

Na Kwaa taarifa tu Kuna Bar med wanaishi maisha mazuri na wanaingiza kipato kikubwa kuliko hata Mwenye Digrii ambaye anachagua Kazi na Wanaume wenye kifua cha kubeba tofali
 
Back
Top Bottom