Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Climber Pub Iko Scotland.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ulikula gentamycine za kutosha ee?Ni Kahumba Mkuu. Hiyo sehemu kuna mwaka huko nyuma ilinifanya nichome sana Sindano Kali za Antibiotic ili Kuunusuru Mkuyenge wangu usinyofoke wote kutoka pale ambapo uliumbwa na Muumba uwe unakaa huku kila asubuhi mnara wa Babeli huwa unanyooka.
Morogoro Shikamooni na Kahumba yenu!
hahaaaaa bwana weweeeKibo pub masasi
Njoo lastanza bar hapa uone wadada wanafanania kama wake za watu vile,ni wazur balaa,huyu jamaa mwenye lastanza sjui kwann kwamwaga madem weng hiv?yaan wahudum wanazid 20,af vyumaaa
Hahaha mnawaita tatooz, hawa wakitaka kuolewa uhama mkoa . Ndio hawahawa tunaoa. Akija Dar changu ukimkuta msata mke wa mtu.
Achana na Chiller mkuu njoo Bijampola ni hatariiClub chiller kahama,napo syo mchezo.dah
Madereva wa malori sio wapenz wj city pub...hao viwanja vyao ni shikamoo pub,free park,makasin bar zote za uyole mbeya huko kweli dally kimoko hakosi!!Hapo nasikia kumekithiri mno kwa Dally Kimoko Mkuu na Madereva wengi ninaowafahamu wa Magari ya Mizigo na Mafuta sasa hivi wanalipiga mno hilo Gitaa maarufu ambalo hata ukiwa Kaburini utaendelea tu kulisikia.
Mada za kijinga zinapata wachangiaji hatari sana
Duuh! Hiki kiwanja bado kipo mkuu ?rode club hapa singida hatareee tatzo wengi hawana visimi
Mkuu Mkuu kwani siku hizi hawavai vimini?Aisee umenikumbusha way back
Hivi bado wanavaa vile vimini mpaka akidondosha opener anashindwa kuinama?
Nasikia interview zao ni wowowoo...
N.b bei zao ni kama wako kibiashara zaidi, kuondoka naye 50k.
Ulivomuelezea tu mkuu mm sina cha ziada kwa kweli. .Suma bar kuna mtoto mdogo kama 18 mtoto mzuri saana walah anamiguu macho Na anajua kuvaa sket mapaja wazziii kama hayupo bar hiyo huwa sikai
Mkuu umetishaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo Buku unatajiwa Wewe tu Wakuja uliyetoka huko Mbwinde, Kyaka Nkunde na Ikupiliba Nkoba Villages Mkuu ila Sisi wenzako Mamemba wa Kutukuka wa Kimboka Mbunye huwa tunapewa kwa Mkopo na Mshahara ukiingia tunawasilisha Madeni yetu na mwendo ni kama kawaida Kanyaga twende, mbele kwa mbele na mwendo mdundo.
Af pachafuMiami pale kuna ngoma sana mzee, hapafai.