Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

Ha ha ha ulikula gentamycine za kutosha ee?
 
Njoo lastanza bar hapa uone wadada wanafanania kama wake za watu vile,ni wazur balaa,huyu jamaa mwenye lastanza sjui kwann kwamwaga madem weng hiv?yaan wahudum wanazid 20,af vyumaaa

Mkuu iko wapi hii lastanzia
 
Hahaha mnawaita tatooz, hawa wakitaka kuolewa uhama mkoa . Ndio hawahawa tunaoa. Akija Dar changu ukimkuta msata mke wa mtu.

Ndio maisha yalivyo. Mzunguko.
Point A MTU anachamba, maji Yale Yale yaliyotumika kuchambia , point B yanakingwa kama Chemchem na kutumika kunywa. Usiwaze sana
 
Hapo nasikia kumekithiri mno kwa Dally Kimoko Mkuu na Madereva wengi ninaowafahamu wa Magari ya Mizigo na Mafuta sasa hivi wanalipiga mno hilo Gitaa maarufu ambalo hata ukiwa Kaburini utaendelea tu kulisikia.
Madereva wa malori sio wapenz wj city pub...hao viwanja vyao ni shikamoo pub,free park,makasin bar zote za uyole mbeya huko kweli dally kimoko hakosi!!
 
Aisee umenikumbusha way back
Hivi bado wanavaa vile vimini mpaka akidondosha opener anashindwa kuinama?
Nasikia interview zao ni wowowoo...
N.b bei zao ni kama wako kibiashara zaidi, kuondoka naye 50k.
Mkuu Mkuu kwani siku hizi hawavai vimini?
 
Mkuu umetishaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…