Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

Kanumba n hataree,nshawah kwenda 2014 na jamaa angu akapiga matatu kwa 30000@10000 n hatar
 
Plazma nyegezi mwanza
Siku hiz plazma hamna kitu kaka... Pia kuna yule meneja alikua anaweka mwanaume anaweka kalikiti ndo aliharibu kbs... Yan hatak hata binti upige naye stori.

Hlf akawa anataka awagongeee yeye tu yan kama jinga jinga... Mwisho wa siku watoto wazur wakasepa weng.. .sa hivi plazma zilipendwa....
 
Rejea tu Kichwa cha habari ( Headline ) hapo juu kisha tiririka na serereka zako tu Mkuu.

Hapo kwenye neno Totooz nimemaanisha Warembo ( Wanawake wazuri wazuri ) tafadhali.

Nawasilisha.
Mkuu hii thread itanisaidia sana katika shughuli zangu za utalii wa ndani.
 
Bitiryo Bar iliyoko Msoma gwabakari mwisota kwisense kuna warembo sana na ni wataramu kwa kupalua samaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…