Kanumba n hataree,nshawah kwenda 2014 na jamaa angu akapiga matatu kwa 30000@10000 n hatar
Bitiryo Bar iliyoko Msoma gwabakari mwisota kwisense kuna warembo sana na ni wataramu kwa kupalua samaki
Dodoma wapi viwanja?
Iko Goba Dar es salaamMkuu iko wapi hii lastanzia
Na mimi naongezea swali 1, "hivi kuna warembo wa kike kwa Magufuli county ?"Wanawake wazuri wanapatikana baa? Au uzuri umetafsiriwaje hapa?
Na mimi naongezea swali 1, "hivi kuna warembo wa kike kwa Magufuli county ?"
Teh teheee! Namuona Joyce Kiria pale anakata mauno ili apewe mkwanja wa siku hiyo. Ni mrembo ati[emoji1] [emoji1] [emoji1]Bwanawee eti wanasema uzuri au urembo anaeufahamu ni yule mtazamaji...
Mie naona bar wanapatikana wa matumizi tu
Popoma Night ClubRejea tu Kichwa cha habari ( Headline ) hapo juu kisha tiririka na serereka zako tu Mkuu.
Hapo kwenye neno Totooz nimemaanisha Warembo ( Wanawake wazuri wazuri ) tafadhali.
Nawasilisha.