Bar made = Barmaid?Usiku ninapokaribia Kulala huwa sipendi na nachukia kuulizwa maswali magumu magumu.
napapata hapo mkuu..kuna lile bar made bonge nilikua nalilia timing,bahati yake niliondoka mwanza mapema.
Duuh hatari sana hii! Mkuu GENTAMYCINE:Hiyo Buku unatajiwa Wewe tu Wakuja uliyetoka huko Mbwinde, Kyaka Nkunde na Ikupiliba Nkoba Villages Mkuu ila Sisi wenzako Mamemba wa Kutukuka wa Kimboka Mbunye huwa tunapewa kwa Mkopo na Mshahara ukiingia tunawasilisha Madeni yetu na mwendo ni kama kawaida Kanyaga twende, mbele kwa mbele na mwendo mdundo.
Watu humu ukitoa mada wanawashwa washwa sana...wanakuwa na wivu wa kike kike mkuu, achana naeWanaume wenye Vimelea vya Ushoga / Umagomeni Mapipa kwa Macheni utawajua tu kwani mara nyingi sana huwa wanashawashwa / wanawiwa kwa mambo yasiyowahusu.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Watu wa usalama mawindoni....[emoji102][emoji102] endeleeni kutaja sehemu mnazokula bata...
Watu humu ukitoa mada wanawashwa washwa sana...wanakuwa na wivu wa kike kike mkuu, achana nae
Iko goba kwa matajir mjomba,dsmMkuu iko wapi hii lastanzia
The great kuna malaya.usiku wanakaa pale kwenye nje.so usichanganye malaya na wahudum,wahudum wa the great wa kawaida sanaThe Great Park, kuna totoz kali kinoma
Kwa hiyo mliambukizana na vijana Wa SUA na IDM Mzumbe. Kilikuwa kiota chaoNi Kahumba Mkuu. Hiyo sehemu kuna mwaka huko nyuma ilinifanya nichome sana Sindano Kali za Antibiotic ili Kuunusuru Mkuyenge wangu usinyofoke wote kutoka pale ambapo uliumbwa na Muumba uwe unakaa huku kila asubuhi mnara wa Babeli huwa unanyooka.
Morogoro Shikamooni na Kahumba yenu!
Miami long time zilipendwa.Ukuje ipogolo.niangusage sambi sako mwenyeweDuh Iringa kuna viwanja vipya mpaka ipogoro, nilizoea sana Miami
Mkuu mbona huko hakujulikanDar safari park.Kijichi.
Ipogolo kuna sehemu moja tu tena siku hizi wapo kibiashara zaidi hao wahudumu "LATINO PUB"Miami long time zilipendwa.Ukuje ipogolo.niangusage sambi sako mwenyewe
Ujaribu kuja.huku ndiyo Oysterbay ya TemekeMkuu mbona huko hakujulikan
naona mnaoish huko mna moyo, kumejtenga sana na company za washkaji mjin
ukitaka ujue huko bado sana, we tizama bar zinazotajwa nyng zipo ilala na kinondon.Ujaribu kuja.huku ndiyo Oysterbay ya Temeke
Lakini hii haiondoi ukweli huku pia kuna baa nzuri na huduma nzuri zinazoweza kupita baadhi ya za huko.ndo mana hata za mikoani zinatajwaukitaka ujue huko bado sana, we tizama bar zinazotajwa nyng zipo ilala na kinondon.
Temeke bado sana viwanja-kumekaa kushoto sana
Wengi wanatamaa.washazoea kuhogwa hamsini hamsini hizi siyo rahisi ku settleUkipata muhudumu Wa bar anayejielewa anaweza kuwa mke mzuri/ mwema/ mwadilifu .
1: anaujua ugumu wa maisha ( experience life)
2: Anaijua bajeti
3: Anajua sex( kesha cheza game nyingi ( home and away)
4: Asiwe amezaa.
Ni mtazamo wangu.
Muhudumu aongwe fifty bucks.![emoji15] very rare. Labda wale Dada poas wanaozunguka na kuzengea bar hizo. Akipigwa na njemba 4 usiku mmoja atapata hiyo amount.Wengi wanatamaa.washazoea kuhogwa hamsini hamsini hizi siyo rahisi ku settle