Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

Ni Kahumba Mkuu. Hiyo sehemu kuna mwaka huko nyuma ilinifanya nichome sana Sindano Kali za Antibiotic ili Kuunusuru Mkuyenge wangu usinyofoke wote kutoka pale ambapo uliumbwa na Muumba uwe unakaa huku kila asubuhi mnara wa Babeli huwa unanyooka.

Morogoro Shikamooni na Kahumba yenu!
 
Toroka uje , korogwe kimara

Hapa ni kweli Mkuu ila nadhani kama Wamiliki wa hii Baa wakiwa Wabunifu wanaweza wakawatumia wale Panya wanaopatikana sana hapo ambao huingia Mifukoni mwa Wateja na kuondoka na Pesa hasa za Noti kuwa sehemu ya Utalii na wakajipatia Pesa nyingi tu za ziada.

Shikamooni Panya wa Baa ya Toroka Uje.
 
Mkuu una uzoefu mkubwa na mzuri sana. Kama unawajua panya wa toroka uje wewe kiboko.
 
Back
Top Bottom