Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
She gotta gwan - Ngwair vs Dark Master
Hawatuwez - Nako2Nako Soldiers
Niamini - Professor Jay
Hawatuwez - Nako2Nako Soldiers
Niamini - Professor Jay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rado beat ni ya baucherBeat hizi
She got gwan mangwear
Hiii leo kina gk producer alikuwa mahundi
Tamara nyimbo ya hardmad producer mika mwamba
Prof jay ft feroos ule wimbo nafsi yangu nilikuwapa uitunze mpenzi na anasa za jiji zikachanganya ...producer p funk ...pia beat lilipendwa sana na chameleon wa uganda akaliomba
Tunakuja hata kenya kuna beat ya noniiiii wimbo unaitwa kadhaaa nimemsahau producer wake
Ila pia rado kwenye beat usiulizeee lile beat naloo nyokooo machine aliproducer pfuck nahisi
N last bwana misosi wimbo wa bwana misosi saa naimba ile beat nayo ilipendwa na wasanii wawili bwana misosi akampa ile beat jamaa anaitwa man x nae akamshrikisha dully skykes ngoma nimchezea bahati beat nyoko sana ile
Bonus beat kabisa ni 2008 wimbo wa mr blue tabasam asee beat tam lile ....sasa upate ila tabasam original mwishoni kuna mtaala analalamika anaitwa qchief wewe....tabasam original ya q chief ni moto plus beat
Niishiie hapa au niwape ya mwishoooo hii sasa ni ngoma ya dini inaitwa yesu ni bwana released in 1999 baada ya chidumule kuokokaa akaacha mambo kuimba na kina doctor remmy akatoa hii machine ina vinanda humo balaaaa
hio ngoma hio beat ni ya lembe kabisa.Hawatuwez - Nako2Nako Soldiers
Hiyo hapo nafikiri ni 2005 au 2006Hizo ngoma ni za mwaka gani?
Mimi naikubali hii
Pig Black ft Ay - Mtoto wa mjini
Hao ni GWM,ila LWP waliimba Mke wa Mtu ni Sumu ,Jela