Beat hizi
She got gwan mangwear
Hiii leo kina gk producer alikuwa mahundi
Tamara nyimbo ya hardmad producer mika mwamba
Prof jay ft feroos ule wimbo nafsi yangu nilikuwapa uitunze mpenzi na anasa za jiji zikachanganya ...producer p funk ...pia beat lilipendwa sana na chameleon wa uganda akaliomba
Tunakuja hata kenya kuna beat ya noniiiii wimbo unaitwa kadhaaa nimemsahau producer wake
Ila pia rado kwenye beat usiulizeee lile beat naloo nyokooo machine aliproducer pfuck nahisi
N last bwana misosi wimbo wa bwana misosi saa naimba ile beat nayo ilipendwa na wasanii wawili bwana misosi akampa ile beat jamaa anaitwa man x nae akamshrikisha dully skykes ngoma nimchezea bahati beat nyoko sana ile
Bonus beat kabisa ni 2008 wimbo wa mr blue tabasam asee beat tam lile ....sasa upate ila tabasam original mwishoni kuna mtaala analalamika anaitwa qchief wewe....tabasam original ya q chief ni moto plus beat
Niishiie hapa au niwape ya mwishoooo hii sasa ni ngoma ya dini inaitwa yesu ni bwana released in 1999 baada ya chidumule kuokokaa akaacha mambo kuimba na kina doctor remmy akatoa hii machine ina vinanda humo balaaaa