Taja comments zoeleka zinazokukela humu JF

Hii siipendi ukute uko serious πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwingine anasema tangawiz haijatosha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Screenshot_2023_0810_191536.png
 
.......hizo komenti zinakera kutokana na kujirudiaridia au kutoendana na topic wakati mwingine, ingawa mara nyingi zinakuwa na ujumbe wa ndani kidogo, mfano:
1.Ngoja waje - hii mara nyingi huwa inakumbusha wachangiaji wanaofuatia kuwa makini coz unakuta thread Ina muelekeo wankupondankundinla watu fulani humu.....
2.Chai - hii to me huwa inanifanya nirudie kutafakari Uzi ulioanzishwa na sometimes unapata sense ya kuona pengine kweli kuna uongo umeandikwa.......
3.Siti ya mbele - comment hii imekaa kimbea sana na inapendwa na watu wapenda ubuyu, lakini pia comment hii hutolewa kwenye Uzi ambao unaonekana kuwa very constructive na mzuri sana unaogusa wengi so hataki kumiss chochote anakaa Siti ya mbele......
4.Mkalitizame - hii mara nyingi huwa inaonesha thread iliyoanzishwa ni ya kijinga au ya kitoto au imekaa kivituko mf: naomba ushauri namna nzuri ya kumcheat wife......
5.Weka picha - hii inatokea sana kwenye nyuzi ambazo ni very sensitive lakini zimekosa validity, hasa zikiwa nyuzi za mapenzi au mambo ya utupu, niseme tu watu wapenda kuona nyuchi za wenzao sijui kwa nini......
6.Tatizo watu ni wabishi sana - ingawa hii ni kama signature ya ndugu yetu Smart wa Mahondaw, huwa inatokea kwenye nyuzi zinazotoa lawama baada ya mtu kuonywa na kukaidi, kubisha au kupotezea jambo alilokuwa ameonywa au kushauriwa........
 
Hahaha umenikumbushaa siti ya mbele
 
[emoji3064][emoji23][emoji23][emoji23] Kiranga sijui Mungu alikukosea wapi
Mungu kunikosea inabidi awepo kwanza, hajanikosea, kwa sababu hayupo.

Ila watu sasa wanavyomsingizia mambo huyo Mungu ambaye hayupo ndiyo kwenye tatizo.
 
Tuyaache maana hii topic itakuwa na marefu yasiyo na ncha..!
 
Back
Top Bottom