Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Evelyn Salt punguza msharti... hahaha
Vigezo na mashart kuzingatiwa 😁Evelyn Salt punguza msharti... hahaha
Nitavivunja... Vipo kwa ajili ya kuvunjwa...Vigezo na mashart kuzingatiwa 😁
Ba mkwe badilika umezeeka Sasa...si tulikubaliana hayo yashapita🤣Kurudi maskani muda wowote ninaojisikia.
Kuingiza demu yoyote ninaejisikia.
Kila kitu Kwa uhuru.
Ukae pekeako uchizi😁😁😁😁!!