NO REFORMS, NO ELECTION.Mohamed Hussein Zimbwe Junior anatembea na Mkataba wa Yanga!!
Zinazoonekana Mtandao siyo Romans bali ni Ukweli,
Wakala wa Mohamed Hussein alikutana Na Uongozi wa Yanga Palm Hotel akapewa mkataba,Siku ambayo wakala wake alifata mkataba Walienda na Mchezaji hadi Hotelini akamuacha kwenye gari then Wakala akafata mkataba.
Mohamed Hussein anatembea na Mkataba wa Yanga bado hajasaini hadi Sasan,Mkataba Wenye thamani ya Tsh Million 500 alipewa.
Mohamed Hussein hadi Sasa hajasaini mkataba wa Yanga bado anasubiri Offer za Simba kama Ataridhika asaini..
Mohamed ameweka mapenzi kwa Simba,Miezi miwili anatembea na Mkataba wa Yanga Wenye thamani ya Tsh Million 500, , Mohamed Hussein Siyo Jonas Mkude au Chama.
Kwake Simba ipo Moyoni Respect kwa Captain Huyu,I know to This stori kitambo Sana ila Leo nimewaletea.
Muhimu Simba wampe Pesa Nzuri ili aweze Kusaini pia itakuwa respect kwa wazawa kupewa thamani kama wanayopewa Wageni..
Habari za ndoa yanguMohamed Hussein Zimbwe Junior anatembea na Mkataba wa Yanga!!

Huna taarifa kamili zimbwe amesaini yanga na hicho kima ulichokitaja sio kweli,na sio wajibu wangu kukitaja,kilichowazi ni kwamba kasaini yanga tayari.Kilichomfanya asaini yanga ni vurugu zilizoko simba miongoni mwa viongozi wakeMohamed Hussein Zimbwe Junior anatembea na Mkataba wa Yanga!!
Zinazoonekana Mtandao siyo Romans bali ni Ukweli,
Wakala wa Mohamed Hussein alikutana Na Uongozi wa Yanga Palm Hotel akapewa mkataba,Siku ambayo wakala wake alifata mkataba Walienda na Mchezaji hadi Hotelini akamuacha kwenye gari then Wakala akafata mkataba.
Mohamed Hussein anatembea na Mkataba wa Yanga bado hajasaini hadi Sasan,Mkataba Wenye thamani ya Tsh Million 500 alipewa.
Mohamed Hussein hadi Sasa hajasaini mkataba wa Yanga bado anasubiri Offer za Simba kama Ataridhika asaini..
Mohamed ameweka mapenzi kwa Simba,Miezi miwili anatembea na Mkataba wa Yanga Wenye thamani ya Tsh Million 500, , Mohamed Hussein Siyo Jonas Mkude au Chama.
Kwake Simba ipo Moyoni Respect kwa Captain Huyu,I know to This stori kitambo Sana ila Leo nimewaletea.
Muhimu Simba wampe Pesa Nzuri ili aweze Kusaini pia itakuwa respect kwa wazawa kupewa thamani kama wanayopewa Wageni..
oNani
Usitangaze mke wangu mzuri wataniroga humu 😘Habari za ndoa yangu