Wanawake wengi wa zamani ilikuwa kawaida kuolewa na wanaume maskini na kutafuta nao maisha pamoja
Unadhani ni kwann mabinti wengi siku hizi wanaogopa wanaume maskini yaan Mabinti wengi hawataki kabisa kukubali kuolewa na wanaume maskini? Yaan unakuta kila binti anataka kuolewa na mwanaume mwenye pesa
Nn tatizo?