Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
27,000 = elfu ishinini na saba = twenty seven thousandsWadau hamjamboni nyote?
Usitie maoni au ushauri wowote unachotakiwa ni kuzitaja hizo namba kwa usahihi wa maneno ya kiswahili na kiingereza
27,000
2007
20,00727,000 = elfu ishinini na saba = twenty seven thousands
2007 = elfu mbili na saba = two thousand and seven
Daaa!Afumbili na saba
Afuishirini na saba 😸
Two thousand and seven
Twenty seven hundred thousand
Watu wenye uelewa mdogo kama wako ni faida kubwa kwa chama cha waropokaji.27, 000
20, 007
Wadau hamjamboni nyote?
Usitoe maoni unachotakiwa ni kuzitaja hizo namba hapo juu kwa usahihi wa maneno ya kiswahili na kiingereza
Vipi kiongoziDaaa!
Kwa nini umeweka "shilingi"?Ishirini na saba elfu….27,000.00.
Elfu ishirini na shilingi saba….20,007.00.
Mkuu Jana ulilewa?Afumbili na saba
Afuishirini na saba 😸
Two thousand and seven
Twenty seven hundred thousand
Kuondoa mkanganyiko.Kwa nini umeweka "shilingi"?
Wakati wengine tunasoma hesabu za mamia kwa maelfu wewe ulikuwa busy unalamba kamasi 🤣
Okay
2007 - Elfu mbili na saba.
27000 - Elfu ishirini na saba
Hiyo afu!Ni elfu mkuu😁😁😁Afumbili na saba
Afuishirini na saba 😸
Two thousand and seven
Twenty seven hundred thousand