Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
Hapana sikulewa ila nina uhakika 101% kwenye kiingereza, labda mnikosoe kwenye kiswahiliMkuu Jana ulilewa?
Hapana sikulewa ila nina uhakika 101% kwenye kiingereza, labda mnikosoe kwenye kiswahiliMkuu Jana ulilewa?
Yeah ☺️, watu mchangamke kidogoHiyo afu!Ni elfu mkuu😁😁😁
Wapo wanaotaja hivyo,afu Moja,afukumi nk.Yeah ☺️, watu mchangamke kidogo
Yeah, ndo nimewaiga hapaWapo wanaotaja hivyo,afu Moja,afukumi nk.
uzi ufungwe27,000 Ishirini na saba elfu (twenty-seven thousand)
20,007 Elfu ishirini na saba (Twenty thousand and seven/Twenty thousand seven)
Elfu ishirini na saba20,007
Hapo mwisho wewe ndiye unaweza kuwa sahihi!27,000 ishirini na saba elfu.
20,007 ishirini elfu na saba.