Taja 'horror movies' zenye ubunifu mkubwa na wa pekee

Ngoja niwape leo kama Movie nne (4) hivi ambazo sio famous sana ila ni kali sana kwa wazee wa Horror:

1. Baghead 2023:



Hii inamuhusu demu mmoja alikua na ugomvi na mshua wake. Kwahiyo wakawa hawaongei kabisa. Baba anaishi nchi nyingine na yeye anaishi kwingine maisha yamempiga. Sasa baba akafariki, akamuachia urithi wa bonge la jumba mjini centre. Akaitwa kusaini urithi. Kumbe kwenye Basement ya iyonyumba ndio kisanga kilichopo. N unatakiwa ulinde iyo nyumba bila kuondoka. Aisee movie ni kali kuanzia dakika ya kwanza hadi mwisho.


2. Case 39 2009:


Kuna sista mmoja anafanya kazi social worker. Sasa akakutana na case flani, wazazi wanamnyanyasa sana mtoto wao wa kike (kama 14 yo hivi). Akaipambania ile case, wazazi wakafungwa jela baada ya kukutwa redhanded wakitaka kumuua mtoto kwa kumuweka kwenye oven yule mtoto. Wazazi wala hawakutaka kukataa iyo case wanasema uyo sio mtoto wao ni shetani. Walivyoenda jela yule dada umbea mwingi akamuadopt yule mtoto. Oyah alichokutana nacho, mbona aliimba nyimbo.

3. Exte (Hair Extention) 2007
Hii chuma ya Kijapan. Kuna mzigo wa nywele za bandia za wanawake wanaotaka kuongeza urefu wa nywele ulifika. Kumbe bwana izo nywele sio za bandia, ila zimetolewa kwenye miili ya wanawake ambao walitekwa, wakafanywa vibaya kisha wakanyolewa ili nyele zikauzwe baada ya kuuliwa na organs zao kuuzwa. umeona sasa. Oya kuna revenge moja amazing sana.



4. I Saw A Devil 2010

Kuna mwamba ni Secret Service (wale wanaowalinda viongozi wa juu kama Marais) wa nchini Korea. Sasa siku moja yupo kazini, akawa anaongea na mke wake chooni kwenye simu. Muda huo huo mke wake gari lake limenasa kwenye snow. Akaja jamaa akajifanya anataka kumsaidia ila mke akasema asante, nishaita towtruck wanakuja kunivuta. Kumbe jamaa ni serial killer. Si akamuattack mke wa Secret Service na kumuua na huku jamaa anasikiakwenye simu. Oya ikumbukwe mke ni mjamzito. Aliafutwa mtu kama panya. Tamu sana ila kama una roho nyepesi usiangalie.
 

Attachments

  • I_Saw_the_Devil_film_poster.jpg
    26.4 KB · Views: 6
 
Halloween
Friday the 13th
Nightmare on Elm Street
Scream
Texas Chainsaw Massacre
Psycho
American Psycho
The Shining
Jaws
Hellraiser
Chucky
Annabelle
Insidious
Poltergeist
Alien
Predator
Candyman
Saw
Silence of the Lambs
It
Trick ‘r Treat
Ring
Terrifier
Cabin in the Woods
Sleepy Hollow
Jeepers Creepers
House of 1000 Corpses
American Horror Story
X
Pearl
Urban Legend
I Know What You Did Last Summer
The Collector
Black Christmas
Opera
The Burning
Sleepaway Camp
Intruder
Final Destination
You're Next
The House on Sorority Row
The Prowler
The Silence
Evil Dead
The Thing
Us
Get Out
Nope
The Purge
 
We Zai umezidi uoga sasa mrembo,hadi hiyo ya Rambo unaiogopa duh kweli nimeamini nyie wanawake hata mende hamuwezi kumuua
 
Hii ya 4 nimeipenda sana kama unazingine ambazo sio horror but zina story kali zilete mkuu
 
We Zai umezidi uoga sasa mrembo,hadi hiyo ya Rambo unaiogopa duh kweli nimeamini nyie wanawake hata mende hamuwezi kumuua
Huyu hawezi movie aangalie Animation za DreamWorks na Disney.
 
Baghead ni ya 2024.

Mzigo wa kwenda huo.
 
Ngoj
A nizisake
 
Kuna movie inaitwa Serbia Film 2010 aisee usiangalie. Usiangalie. Horror. Psychology. Thriller. Traumatic. Aisee please usiangalie. Kuna baadhi ya nchi 46 imefungiwa (banned) zikiwemo Philippines, Spain, Australia, New Zealand, Malaysia, Norway, and Bahrain.


Ikitokea umeleta ubishi unaangalia, usiangalie na mtu. Angalia mwenyewe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…