Taja JF member au members ambao una hamu kabla hujatangulia mbele za haki angalau uwe umewajua

Uzi mzima sipo bora sitafutwi maana haya mambo ya kutaka kuja kukutana na post zetu za humu UNAWEZA kuja tafutwa na Noah,am glad sijaona mwenye shauku ya kunijua
 
Uzi mzima sipo bora sitafutwi maana haya mambo ya kutaka kuja kukutana na post zetu za humu UNAWEZA kuja tafutwa na Noah,am glad sijaona mwenye shauku ya kunijua
Mim ninayo[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…