The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa.Hawa wote uliowataja mmoja I'd zake ni 3 kwa hiyo ukikutana na Jingalao ndio huyo huyo motochini, mudawote na utaifakwanza!
ndio wapi tena huko kisimiri isije ikawa kashimirimimi si nipo tu.......njoo basi Kisimiri.....ndio nimehamia huko siku hizi......
Utaniona tu mkuu! UsihofuArabian Queen
Ontario
Stunter
Paprika
General Galadudu
Bitoz
Na wanakapuku woteeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipeni namba zenu niwatafute nione kama mtanenepa
Eeh odaa....Odaaa!
Ama nene babulai?
Itakuwa furaha yangu kuu!Utaniona tu mkuu! Usihofu
Wewe kamatia tuuu...Eeh odaa....
Mamilo wanazidi kuongezeka.
Mdau usijaliArabian Queen
Ontario
Stunter
Paprika
General Galadudu
Bitoz
Na wanakapuku woteeee
Nitafarijika sana mkuuMdau usijali
Panapo majaliwa tutaonana
Naona vijana wana shauku kweli kweli ya kuonana na vijana wenzao........Mimi nawatakia kila la kheri kwenye kuonana kwenu......pia kuonana huko kuwe ni kwenye kujenga na mwanzo wa mahusiano mema......pia mjifunze kuwa na vifua....kuyahifadhi mabaya na mazuri ya wenzenu......