Utaona walivyo na mapembe yao mafupi
Sunter ndio naniiiWa kwanza daby, pili sunter tatu shunie, nne miss natafuta tano nyani ngabu, sita joverest maana huyu anakuwa wa kwanza kukomenti kila Uzi unaokuja sijui anakuwa wa kwanza pia kuwaza jinsi ya kutafuta hela? Daby nataman nimpe kisehemu cha ardhi yang ninayoimilik Kyle mbezi ili awe JIRAN yang, miss natafuta nataman aolewe na kaka yang nione mbwembwe sake,sunter nataman nimwone ili nicheke,shunie nataman nimwone anipe formula za kujiandaa kuingia kwenye maisha ya ndoa
Nataman nikuone hata wew unayekuwa wa kwanza kukomenti kila Uzi unaoanzishwa ,hivi unakuwa wa kwanza pia kutafuta hela?[/QUOTE
Mara nyingi huwa ni opposite yake.
Unatamani uwaone ili ujiridhishe kama wanafanana na avatar zao!!!?Miss natafuta
Sky elcat
Faiza fox
Miss chaga
Shunie
Jovitha
Ahaaaaass...noma sana aiseeHa ha ha haaaa.. Yaani mimi hua naimagine nyinyi ni watu flani hivi matajiri sana wanufaika wa mfumo..sometimes nikiona(ga) VX V8 linanipita kimoyomoyo najisisemea usikute huyo ndo MOTOCHINI mwenyewe.