Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
swali la korofi hilo teh tehNataman nikuone hata wew unayekuwa wa kwanza kukomenti kila Uzi unaoanzishwa ,hivi unakuwa wa kwanza pia kutafuta hela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swali la korofi hilo teh tehNataman nikuone hata wew unayekuwa wa kwanza kukomenti kila Uzi unaoanzishwa ,hivi unakuwa wa kwanza pia kutafuta hela?
Kwan We mwali ndo ushinde ndaniasante ubarikiwe sana maana mie ni mgeni siijui mitaa nashinda ndani tu
Utaniona siku moja, Pesa inatafutwa kwa namna yake sio hapa JFNataman nikuone hata wew unayekuwa wa kwanza kukomenti kila Uzi unaoanzishwa ,hivi unakuwa wa kwanza pia kutafuta hela?
Maan unakuwa wa kwanza humu🙁Utaniona siku moja, Pesa inatafutwa kwa namna yake sio hapa JF
Miss natafutaa
Sky Elcat
Miss Natafuta
Hawa nawaelewaga sana
Miss Natafuta na Miss Chaga, nataka niwaone kwenye sura mbili tofauti..... Teteteeeh!...ngumu kumeza
Wa kwanza daby, pili sunter tatu shunie, nne miss natafuta tano nyani ngabu, sita joverest maana huyu anakuwa wa kwanza kukomenti kila Uzi unaokuja sijui anakuwa wa kwanza pia kuwaza jinsi ya kutafuta hela? Daby nataman nimpe kisehemu cha ardhi yang ninayoimilik Kyle mbezi ili awe JIRAN yang, miss natafuta nataman aolewe na kaka yang nione mbwembwe sake,sunter nataman nimwone ili nicheke,shunie nataman nimwone anipe formula za kujiandaa kuingia kwenye maisha ya ndoa
nipeni namba zenu niwatafute nione kama mtanenepaKuna jamaa anaitwa Ndukidi,
BAK,
Miss Natafuta,
Kasie,
Lara1,
Mshana jr,
Asha Dii
Mchanbuzi
Maan unakuwa wa kwanza humu🙁
kwhyomwali tu ndo anashinda ndani vipi wanaume wanaokuwa jandoni?Kwan We mwali ndo ushinde ndani
Sawa Miss chaga.. [emoji16] [emoji16]nipeni namba zenu niwatafute nione kama mtanenepa
Huu uzi haunihusu maana mtu kasema members ila aliowataja ni watu wenye vyeo vyao vizito JF
View attachment 522004
Sababu am only expert member
Hiyo Avatar yako veepTHE BOLD
DABY[emoji173] [emoji173]