Taja JF member au members ambao una hamu kabla hujatangulia mbele za haki angalau uwe umewajua

Taja JF member au members ambao una hamu kabla hujatangulia mbele za haki angalau uwe umewajua

Miss natafutaa
Sky Elcat
Miss Natafuta
Hawa nawaelewaga sana
Miss Natafuta na Miss Chaga, nataka niwaone kwenye sura mbili tofauti..... Teteteeeh!...ngumu kumeza
Wa kwanza daby, pili sunter tatu shunie, nne miss natafuta tano nyani ngabu, sita joverest maana huyu anakuwa wa kwanza kukomenti kila Uzi unaokuja sijui anakuwa wa kwanza pia kuwaza jinsi ya kutafuta hela? Daby nataman nimpe kisehemu cha ardhi yang ninayoimilik Kyle mbezi ili awe JIRAN yang, miss natafuta nataman aolewe na kaka yang nione mbwembwe sake,sunter nataman nimwone ili nicheke,shunie nataman nimwone anipe formula za kujiandaa kuingia kwenye maisha ya ndoa
Kuna jamaa anaitwa Ndukidi,
BAK,
Miss Natafuta,
Kasie,
Lara1,
Mshana jr,
Asha Dii
Mchanbuzi
nipeni namba zenu niwatafute nione kama mtanenepa
 
Huu uzi haunihusu maana mtu kasema members ila aliowataja ni watu wenye vyeo vyao vizito JF
16583524_1239576729459789_489576338454216704_n.jpg

Sababu am only expert member
 
Back
Top Bottom