JoseverestHivi kuna mwamba mmoja kila thread ikipostiwa alikuwa anawahi siti ya mbele kabisa nimemsahau kajina kake,wapi raimundo Mzee wa tuma kwenye namba hii,wapi infantry soldier wapi kiduku lilo wapi katoto kazuri dada wa kujifunza kuandika
Sasa mzeya sii unaona faida ya kuwaza mbususu, unakuwa mtu peace sana. Hugombani na watu maana akili yako inakuwa imetulia most of the time. Mizagamuano huondoa stressmpwayungu village kiukweli kila nikiona jina la huyu member huwa nacheka na kuwaza ni jinsi gani jamaa alivyo BOGAZ+. Mkuu utanisamehe kiukweli ila hayo ni yangu ya moyoni.
mzabzab huyu yeye ni mmojawapo kati ya binaadam wa hovyo ndani ya JF yapokuwa hana shari wala noma na mtu. Yeye huyu kazi yake ni kuwaza papuchi na mizagamuano wakati wote.
Naam huyo ndie
Sawa chief mizagamuano. [emoji1787][emoji28]Sasa mzeya sii unaona faida ya kuwaza mbususu, unakuwa mtu peace sana. Hugombani na watu maana akili yako inakuwa imetulia most of the time. Mizagamuano huondoa stress
kiranga kwa lugha yetu kufanya jambo kwa kiherehere then yakikuta utasikia kiranga komoKiranga, kwa kiluga chetu kiranga ni shetani afu jamaa hakubaliani na uwepo wa Mungu.
Najiulizaga au ni wakala wake kabisa?