Taja jina hapa JamiiForums ukiliona unacheka

mpwayungu village kiukweli kila nikiona jina la huyu member huwa nacheka na kuwaza ni jinsi gani jamaa alivyo BOGAZ+. Mkuu utanisamehe kiukweli ila hayo ni yangu ya moyoni.

mzabzab huyu yeye ni mmojawapo kati ya binaadam wa hovyo ndani ya JF yapokuwa hana shari wala noma na mtu. Yeye huyu kazi yake ni kuwaza papuchi na mizagamuano wakati wote.
 
Hivi kuna mwamba mmoja kila thread ikipostiwa alikuwa anawahi siti ya mbele kabisa nimemsahau kajina kake,wapi raimundo Mzee wa tuma kwenye namba hii,wapi infantry soldier wapi kiduku lilo wapi katoto kazuri dada wa kujifunza kuandika
 
Joseverest
 
Mbao za mawe
Kichwa kichafu
Inama nkusweke
Mpwayungu, huyu kuna siku nipo kkoo kuna jamaa mbele yangu alikuwa amevaa tisheti imeandikwa mpwayungu village sijui nini nini nikabaki kucheka pekee yangu.
Bujibuji nyamaume
General galadudu
Kiranga. Nikikumbuka wengine nitaongezea
 
mpwayungu village kiukweli kila nikiona jina la huyu member huwa nacheka na kuwaza ni jinsi gani jamaa alivyo BOGAZ+. Mkuu utanisamehe kiukweli ila hayo ni yangu ya moyoni.

mzabzab huyu yeye ni mmojawapo kati ya binaadam wa hovyo ndani ya JF yapokuwa hana shari wala noma na mtu. Yeye huyu kazi yake ni kuwaza papuchi na mizagamuano wakati wote.
Sasa mzeya sii unaona faida ya kuwaza mbususu, unakuwa mtu peace sana. Hugombani na watu maana akili yako inakuwa imetulia most of the time. Mizagamuano huondoa stress
 
Kiranga, kwa kiluga chetu kiranga ni shetani afu jamaa hakubaliani na uwepo wa Mungu.

Najiulizaga au ni wakala wake kabisa?
 
Sasa mzeya sii unaona faida ya kuwaza mbususu, unakuwa mtu peace sana. Hugombani na watu maana akili yako inakuwa imetulia most of the time. Mizagamuano huondoa stress
Sawa chief mizagamuano. [emoji1787][emoji28]
 
Back
Top Bottom