Taja jina la member ambaye tabia yake huipendi

Taja jina la member ambaye tabia yake huipendi

😀😀😀😀 Akili yangu hicho ndio inachoweza tu nivumilie.. hebu jibu post hii kwa freestyle
Hahahahahaha

Nishakuvumilia hunioni nakupa pongezi?, jf kama familia na davinci ndo baba mlezi/

Vichwa panzi midomo wazi nawakabili kwa tenzi, jf miaka miwili na bado sina mpenzi/

Na maliza kwa kusema ishaalah, naomba mungu mwakani nami nile kimasihara/
 
Kuna wale wadada wanaofunga PM! Wangekuwa na uwezo wa kufunga na naniliu nafikiri mpaka sahivi wangekuwa mabikra!! lkn nashukuru mfupa uliomshinda paka panya hatauweza[emoji23][emoji23] single mothers
mliofunga PM mpo..? Nawasalimu tu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Mkuu

Unatongoza JF?

Unaweza tongoza mkeo au dada yako kabisa!

Dont do that ma nigga!
 
Kuna id inaitwa mkwepu jr hahaha huyu simchukii. Naikubali sana hii id inavyojiendesha yaani ikiingia kwenye uzi yenyewe ni kumwaga like tu na haulizi.

Mfano wewe utasema paka ni mnyama anakupa like, means anakubaliana na wewe, kisha akitokea mwingine akisema paka ni mmea na huyo pia anampa like, kwamba sasa hiv kakubali paka ni mmea, akija mwingine akiwatukana nyingi kua mnaongea utumbo, atampa like na huyo pia.

Hii id chiboko.

Hahahhaaa
 
Kuna watu ukiwataja kesho utajikuta umelala juu ya bati ukiwa uchi na vyombo vya habari vitakuita weye mchawi na magazetini utatambaa na huko mitandaoni utajuta kuzaliwa!! Wkt nawewe hujui ulifikaje na tunguli kiunoni mwako ulivaaje na hirizi mkononi Kama saa inakuandama!! Hapo ndo utajua nini maana ya watu wenye tabia zisizo pendeza!😎

Hahahaahaha
 
Kuna watu ukiwataja kesho utajikuta umelala juu ya bati ukiwa uchi na vyombo vya habari vitakuita weye mchawi na magazetini utatambaa na huko mitandaoni utajuta kuzaliwa!! Wkt nawewe hujui ulifikaje na tunguli kiunoni mwako ulivaaje na hirizi mkononi Kama saa inakuandama!! Hapo ndo utajua nini maana ya watu wenye tabia zisizo pendeza![emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkongwe anakutazama tuu

Utaamkia ziwa Jipe
 
Kuna id inaitwa mkwepu jr hahaha huyu simchukii. Naikubali sana hii id inavyojiendesha yaani ikiingia kwenye uzi yenyewe ni kumwaga like tu na haulizi.

Mfano wewe utasema paka ni mnyama anakupa like, means anakubaliana na wewe, kisha akitokea mwingine akisema paka ni mmea na huyo pia anampa like, kwamba sasa hiv kakubali paka ni mmea, akija mwingine akiwatukana nyinyi kua mnaongea utumbo, atampa like na huyo pia.

Sasa akitokea mwingine akamcrush huyu kwa kutukana wenzake na kumwambia aache watu wawe free, na huyo pia atampa like.

Hii id chiboko.
Mie najuaga ni robot
 
Kuna wadau humu miyeyusho sana.
Taja tabia usizozipenda kutoka kwao hivyo wajirekebishe.

Kwangu hawa nawaona miyeyusho sana

1)Sexyles
Huyu anaboa mara anajifanya wa kike mara wa kiume haijulikani.

2)kiduku lilo
Jamaa ana fake sana maisha.

3)Kiranga
Anasema haaimini uwepo wa Mungu ila mada za Mungu zikianza kujadiliwa huyo anajileta kutafuta kiki.
Yeah, Kiranga nilishawahi kumwambia kuhusu tabia hii. Nadhani amesikia.
 
Wewe kutonipenda mimi ni haki yako ya kikatiba.

Wewe kujieleza kwamba hunioendi mimi ni uhuru wako wa kujieleza, haki ya kikatiba.

Natetea haki zako hizi.

Na pia, usiponioenda kwa sababu na mimi natimiza haki zangu za kikatiba za kujueleza, mimi nafurahi sana.

Kwa sababu sijawahi kupungukiwa na wanaonioenda, sitafuti kuoendwa kuoendwa kunanitafuta mimi.

Natafuta ukweli tu.

Na kama ukweli unakukata maini mpaka useme hunipendi, all the better for me.

Bahafi mbaya au nzuri mimi hata sikukumbuki wewe ni nani hapa JF. Siwezi kusema sikupendi, sikujui, sikukumbuki kabisa.

Jinsi ambavyo uko insignificant kwangu.
Unatafuta ukweli wa nini wakati majibu ya ukweli unayo?
 
Back
Top Bottom